Kitoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitoma ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea inayozungumzwa na Watoma. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitoma imehesabiwa kuwa watu 144,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitoma iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.