Kitocho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitocho ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Watocho. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kitocho imehesabiwa kuwa watu 3800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitocho iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitocho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.