Nenda kwa yaliyomo

Kitobelo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitobelo ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watobelo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitobelo imehesabiwa kuwa watu 27,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitobelo iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitobelo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.