Kitikar
Mandhari
Kitikar ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Watikar. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kitikar imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitikar iko katika kundi la Kibantoidi cha Kusini ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitikar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitikar
- lugha ya Kitikar katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/tik
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitikar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |