Kitidore

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitidore ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watidore. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kitidore imehesabiwa kuwa watu 26,000, ambao 20,000 wao hawatumii Kitidore kama lugha ya kwanza. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitidore iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitidore kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.