Nenda kwa yaliyomo

Kithurawal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kithurawal (au Kitharawal) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wathurawal katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kithurawal, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kithurawal kiko katika kundi la Kiyuin.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kithurawal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.