Kithawa
Mandhari
Kithawa kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wathawa katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kithawa, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kithawa kiko katika kundi la Kiyuin.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kithawa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kithawa
- lugha ya Kithawa katika Glottolog
- lugha ya Kithawa katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kithawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |