Kitharu cha Kathariya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitharu ya Kathariya ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal inayozungumzwa na Watharu. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitharu ya Kathariya nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 106,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Uhindi (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitharu ya Kathariya iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitharu cha Kathariya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.