Nenda kwa yaliyomo

Kitharu cha Dangaura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitharu ya Dangaura ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal inayozungumzwa na Watharu. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kitharu ya Dangaura nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 500,000. Pia kuna wasemaji 174,000 nchini Uhindi (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitharu ya Dangaura iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitharu cha Dangaura kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.