Kiternate
Mandhari
Kiternate ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waternate. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiternate imehesabiwa kuwa watu 42,000, ambao 20,000 wao hawatumii Kiternate kama lugha ya kwanza. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiternate iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiternate kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiternate
- lugha ya Kiternate katika Glottolog
- lugha ya Kiternate kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiternate kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |