Kiteor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiteor ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wateor kwenye visiwa vya Teor na Ut. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kiteor imehesabiwa kuwa watu 1100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiteor iko katika kundi lake lenyewe la Kiteor. Wengine huiangalia kuwa lugha moja na Kikur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiteor kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.