Kikur
Mandhari
Kikur ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakur kwenye kisiwa cha Kur na vinginevyo vya jirani. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikur imehesabiwa kuwa watu 3180. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikur iko katika kundi la Kiteor-Kur.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikur kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikur Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikur katika Glottolog
- lugha ya Kikur kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |