Kitemein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kitemein ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Watemein. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitemein imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitemein iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitemein kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.