Kitem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitem ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo, Ghana na Benin inayozungumzwa na Watem. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitem nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 204,000. Pia kuna wasemaji 53,000 nchini Ghana na 50,000 nchini Benin. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitem iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.