Kitela-Masbuar
Mandhari
Kitela-Masbuar ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watela na Wamasbuar kwenye kisiwa cha Babar. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitela-Masbuar imehesabiwa kuwa watu 1050. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitela-Masbuar iko katika kundi la Kibabar.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitela-Masbuar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitela-Masbuar
- lugha ya Kitela-Masbuar katika Glottolog
- lugha ya Kitela-Masbuar kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitela-Masbuar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |