Babar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kisiwa cha Babar

Babar ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Timor. Eneo la kisiwa ni 775 km². Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 8640.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.