Nenda kwa yaliyomo

Kiteke-Eboo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiteke-Eboo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wateke. Pia ni lugha ya wafalme wa Wateke wa zamani. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiteke-Eboo nchini Jamhuri ya Kongo imehesabiwa kuwa watu 20,400. Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuna wasemaji wengi zaidi. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiteke-Eboo iko katika kundi la B70.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiteke-Eboo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.