Kitefaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kitefaro ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watefaro. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kitefaro imehesabiwa kuwa watu 100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitefaro iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitefaro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.