Kitause

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kitause ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watause. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitause imehesabiwa kuwa watu 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitause iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitause kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.