Kitatar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kitartari)

Kitatar ni lugha ya Kiturki nchini Urusi, Kazakhstan, Uchina na Uturuki inayozungumzwa na Watatar. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kitatar nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 4,280,000. Pia kuna wasemaji 104,000 nchini Kazakhstan (2009) na 800 nchini Uchina (1999). Idadi ya wasemaji nchini Uturuki haijulikani. Katika kila ya nchi hizo kuna Watatar wengi ambao hawawezi kuongea Kitatar bali huongea Kirusi, Kikazakh au Kiuyghur kama lugha yao ya kwanza. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitatar iko katika kundi la Kiurali.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitatar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.