Kitarok

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitarok (pia Kiyergam) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Watarok. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitarok imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitarok iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitarok kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.