Kitalodi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitalodi au Kijomang ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Watalodi. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kitalodi imehesabiwa kuwa watu 1500, yaani lugha imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitalodi iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitalodi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.