Nenda kwa yaliyomo

Kitaikat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitaikat ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wataikat. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitaikat imehesabiwa kuwa watu 500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitaikat iko katika kundi la “Border”.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitaikat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.