Kitai-Yo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitai-Yo (pia Kitai-Do) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Watai. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitai-Yo nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Pia kuna wasemaji 7200 nchini Laos (1995) ambao hudai kwamba wametoka nchi ya Vietnam kiasili. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitai-Yo iko katika kundi la Kitai ya Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitai-Yo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.