Nenda kwa yaliyomo

Kitai-Thanh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitai-Thanh ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Watai. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitai-Thanh imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitai-Thanh iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitai-Thanh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.