Kitai-Pao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitai-Pao (pia Kitai-Hang-Tong) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Watai. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitai-Pao nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 10,000. Pia kuna wasemaji 3,300 nchini Laos (1995). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitai-Pao iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitai-Pao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.