Kitagoi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitagoi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Watagoi. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kitagoi imehesabiwa kuwa watu 13,000 lakini Watagoi wengi wameanza kusahau lugha yao na kutumia lugha nyingine. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitagoi iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitagoi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.