Kitabla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitabla ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watabla. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kitabla imehesabiwa kuwa watu 3750, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitabla iko katika kundi la Kisentani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitabla kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.