Kitabaru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitabaru ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watabaru. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitabaru imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitabaru iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitabaru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.