Nenda kwa yaliyomo

Kisuga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisuga ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wasuga. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kisuga imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisuga iko katika kundi la Kimambiloidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisuga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.