Kisomyev

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisomyev ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na tabaka fulani la wahunzi miongoni mwa Wamambila. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisomyev imehesabiwa kuwa watu 18 tu, maana yake lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisomyev iko katika kundi la Kimambiloidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisomyev kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.