Kislavoni cha Magharibi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kislavoni ya Magharibi)
Kislavoni cha Magharibi ni kundi la lugha za Kislavoni zinazozungumzwa katika Ulaya ya Kati-Mashariki.
Ni hasa lugha tatu za kitaifa ambazo ni
Kuna tena lugha mbili za kieneo na wasemaji waliobaki ni wachache:
- Kisorbia katika Ujerumani ya Mashariki kusini kwa Berlin
- Kikashubi katika Poland ya Kaskazini karibu na mji wa Gdansk.
Kuna kumbukumbu ya kihistoria ya lugha za ziada katika familia hii lakini hakuna wasemaji tena, ni lugha za kihistoria tu.
Lugha za Kislavoni cha Magharibi huandikwa kwa alfabeti ya Kilatini.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kislavoni cha Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |