Kislavoni cha Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Magharibi ni lugha rasmi;
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Mashariki ni lugha rasmi;
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Kusini ni lugha rasmi

Kislavoni cha Magharibi ni kundi la lugha za Kislavoni zinazozungumzwa katika Ulaya ya Kati-Mashariki.

Ni hasa lugha tatu za kitaifa ambazo ni

Kuna tena lugha mbili za kieneo na wasemaji waliobaki ni wachache:

Kuna kumbukumbu ya kihistoria ya lugha za ziada katika familia hii lakini hakuna wasemaji tena ni lugha za kihistoria tu.

Lugha za Kislavoni cha Magharibi huandikwa kwa alfabeti ya Kilatini.

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kislavoni cha Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.