Kisiwa cha Saanane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kisiwa cha Saanane ni kisiwa kimojawapo cha Tanzania ambacho kinapatikana katika Ziwa Viktoria.

Ndipo ilipo Hifadhi ya kisiwa cha Saanane.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]