Kisiwa cha Nabuyongo
Mandhari
Kisiwa cha Nabuyongo (pia: Goziba) ni kati ya visiwa vya wilaya ya Muleba, mkoa wa Kagera, kaskazini magharibi mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa, na kiko mbali na pwani (km 85-93) kuliko visiwa vyote vya ziwani duniani kote.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Nabuyongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |