Kisiwa cha Mageta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Mageta ni kisiwa cha kaunti ya Siaya, magharibi mwa Kenya.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]