Nenda kwa yaliyomo

Kisiwa cha Lingira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Lingira ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Buvuma).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]