Nenda kwa yaliyomo

Kisiwa cha Lambu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Lambu ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Masaka).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]