Kisiwa cha Kulazu
Mandhari
Kisiwa cha Kulazu ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe, mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa. Ni sehemu ya kata ya Irugwa, pamoja na kisiwa hicho na vile vya jirani, kama Lyegoba na Buluza.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Kulazu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |