Kisiwa cha Kilwa

Majiranukta: 8°58′54″S 39°31′02″E / 8.98173°S 39.51722°E / -8.98173; 39.51722
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

8°58′54″S 39°31′02″E / 8.98173°S 39.51722°E / -8.98173; 39.51722

Mazingira ya Kisiwa cha Kilwa

Kisiwa cha Kilwa ni kisiwa kimojawapo cha Tanzania ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi. Kipo karibu na pwani ya Mkoa wa Lindi kikitazama mji mdogo wa Kilwa Masoko.

Kisiwa cha Kilwa ni mahali mashuhuri kihistoria na kina maghofu ya Kilwa Kisiwani iliyokuwa mji muhimu wa biashara kwenye pwani ya Uswahilini.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]