Kisiwa cha Kaskazini (Turkana)
Mandhari
Kisiwa cha Kaskazini (Turkana) ni kisiwa cha kaunti ya Turkana, nchini Kenya, kilichotokana na volikano yenye kimo cha mita 520 juu ya usawa wa bahari.
Kinapatikana katika ziwa Turkana.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya visiwa vya Kenya
- Orodha ya milima ya Kenya
- Orodha ya milima ya Afrika
- Orodha ya milima
- Orodha ya volkeno nchini Kenya
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Kaskazini (Turkana) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |