Nenda kwa yaliyomo

Kisiwa cha Irugwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Irugwa ni kati ya visiwa vya kaskazini mwa Tanzania, Wilaya ya Ukerewe.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Irugwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.