Nenda kwa yaliyomo

Kisiwa cha Batwala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Batwala ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Mukono).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]