Kisissala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisissala ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wasissala. Ni tofauti na lugha za Kisisaala nchini Ghana kama Kisisaala-Magharibi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kisissala imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisissala iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisissala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.