Kisidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisidi (pia hujulika kama Kihabsi yaani Kihabeshi) ilikuwa lugha ya Kibantu iliyotokea nchini India, chimbuko lake likiwa ni Kiswahili.

Iliripotiwa kuwa Wasidi walikuwa wanazungumza lugha hiyo hadi katikati karne ya 20 huko Kathiawar, Gujarat[1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Whiteley, 1969, Swahili: The Rise of a National Language