Kishiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kishiki (pia Kigubi) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Washiki. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kishiki imehesabiwa kuwa watu 1200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishiki iko katika kundi la Kijarawan linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishiki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.