Kishatt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kishatt ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Washatt. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kishatt imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishatt iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishatt kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.