Kishan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kishan ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Myanmar, Uchina na Uthai inayozungumzwa na Washan. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kishan nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu milioni tatu na laki mbili. Pia kuna wasemaji 95,000 nchini Uthai (2006). Idadi ya wasemaji nchini Uchina haijulikani Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kishan iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.