Kishabo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kishabo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Ethiopia inayozungumzwa na Washabo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kishabo imehesabiwa kuwa watu 600 tu. Washabo wengi wameanza kutumia lugha ya Kimajang kwa hiyo lugha ya Kishabo iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishabo hakijaainishwa kwa uhakika.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishabo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.