Kimajang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimajang ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wamajang. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimajang imehesabiwa kuwa watu 18,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimajang iko katika kundi la Kisurmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimajang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.